Paroco
JF-Expert Member
- Dec 24, 2017
- 2,576
- 10,922
Ati M7, hawa si Waganda mkuu! 🤣Kumbe ndio maana M7 hataki kutoka madarakani
Prah! pwah!... Hapo tosha ati? 😂 😂 😂 😂
Hahaha
Duh, hapo mwana karogwa na mbususu na huyo ticha naye karogwa na mtalimbo!... Dadeq! 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
One man down, I repeat, man down! 😂 😂 😂
Kale kamjambo wakati wa doggy 🤣🤣🤣🤣🤣
Acha kabisa! 🤣Kale kamjambo wakati wa doggy 🤣🤣🤣🤣🤣
Nakazia !!!
View attachment 1773565
Siasa za Kenya ni ngumu mno. Mambo ya ukabila ukiongeza na kupigana chenga za kawaida za kisiasa kama zile alizopigwa Lowassa na JK basi ni hatari tupu.Amekuja kubainika kuwa hana sifa za uongozi ili hali naye anafanya kila njia aupate urais hata kwa kuununua
Hawezi kuwekwa karibu
Alifariki mwaka jana. Alizaa watoto watatu na huyo mwanafunzi wake. Mapenzi!
Ndo maana sipendi siasa na wanasiasa. Yaani wanaboa wale wahuni sijui walisomea wapi! 🤣Siasa za Kenya ni ngumu mno. Mambo ya ukabila ukiongeza na kupigana chenga za kawaida za kisiasa kama zile alizopigwa Lowassa na JK basi ni hatari tupu.