Paroco
JF-Expert Member
- Dec 24, 2017
- 2,575
- 10,920
Kuna kitu umemzidi
Mkuu konge, niaje
Wananchi wana hasira, watakufuata PM sasa hivi
Kumbe urais ulitaka kuwagombanisha Wanasingida hawa. Madaraka!
Wanaomfahamu wanasema alikuwa na hiyo nyundo kichwani tangu utotoni.Jamaa bado hajapona mshono baada ya kufanyiwa upasuaji wa kichwa
Akiongea nonsense sio kupenda kwakeView attachment 1773188
Sent using Jamii Forums mobile app