Hakuna maji matamu kama ya kwenye hiyo friji
Zinapotea siku hizi
Hayo maji maji ndio shira. (Syrup)Nini maana ya shira ya Kizanzibari, naomba msaada kwa magwiji wa Kiswahili.
Mpendwa Shira ni maji yanakuwa kwenye mchanganyiko wa aina gani?Hayo maji maji ndio shira. (Syrup)
Huandaliwa kwa kuweka kwenye kaimati.
Kuna ya kashata, visheti, ubuyu na pudding.
Picha ya pili ni pudding
View attachment 1771539View attachment 1771541