Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,829
[emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji928]View attachment 1764135
Kuna mmoja nilifunga nae nasikia alikuja kuwa Mjeshi tulikuwa tunamatch Kwa umri ,kila siku harusi ,msosi tunajichanga tunabana Hadi sadaka zile pipi nyeupe, embe mbichi na chumvi.Maagano ya utotoni [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1763873
Inategemea Kama bdo ina deni nje ya nchi[emoji16][emoji16][emoji928]View attachment 1764135
Hebu mtafute mpige stori bana ikibidi mkumbushie harusi yenu [emoji16]Kuna mmoja nilifunga nae nasikia alikuja kuwa Mjeshi tulikuwa tunamatch Kwa umri ,kila siku harusi ,msosi tunajichanga tunabana Hadi sadaka zile pipi nyeupe, embe mbichi na chumvi.
Amficha plate number kumbe imeandikwa kwenye tairiView attachment 1763729
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kajificha kwenye shamba la Katanga
(Ukielewa hii we unafaa kuwa detective)
Aweke na **** yake hapa tuione na tuithaminishe na 500M