Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,829
Dr. Kina** akitupiga lecture akiwa ameproject pc yake pale UDOM.[emoji23][emoji23]View attachment 1762679
Inabidi urudi Mndeny!Halafu unaambiwa... vyeti vyako ni feki....View attachment 1762214
Aiseeee, nimecheka bila kupenda!
Duuuh!Kuna shost jirani hapa anakunywa bia kumi na mbili na hatetereki, Kvant anamaliza mzinga na hachanganyi chochote. Anapiga kavu tyu,
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nimecheka sana dah!! Huo ujinga unatokea sana inabd uwe makini sana unapotumia projector kwa pc yako unapokuwa darasan, make sure ujinga ujinga wote upo closed!! Kama hii ilitokea wkat wetu pia, tulikuwa tunatumia pc ya jamaa sasa kuna player nlkuwa najaribu kuifunga sijui ikawaje ika pop up halafu jamaa alikuwa anaangalia vitu vyetu, mara pc nayo ikaganda hapohapo (si unajua vi dual core tena vimejazwa vitu kibao vinakuwa vizito) dah ilikuwa aibu sana aisee, ikabd tuchomoe waya fasta ili kila kitu kilkuwa kimeonekana[emoji16][emoji16][emoji16][emoji53]Dr. Kina** akitupiga lecture akiwa ameproject pc yake pale UDOM.
Akafungua Firefox, ile kuandika herufi ya kwanza ya pili[emoji1][emoji1] zikashuka suggestion za XXX kibao[emoji16][emoji16] aliclose kwa speed ya umeme
Hahahahaaa... Dadekiii... Usipime.. Poleni[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nimecheka sana dah!! Huo ujinga unatokea sana inabd uwe makini sana unapotumia projector kwa pc yako unapokuwa darasan, make sure ujinga ujinga wote upo closed!! Kama hii ilitokea wkat wetu pia, tulikuwa tunatumia pc ya jamaa sasa kuna player nlkuwa najaribu kuifunga sijui ikawaje ika pop up halafu jamaa alikuwa anaangalia vitu vyetu, mara pc nayo ikaganda hapohapo (si unajua vi dual core tena vimejazwa vitu kibao vinakuwa vizito) dah ilikuwa aibu sana aisee, ikabd tuchomoe waya fasta ili kila kitu kilkuwa kimeonekana[emoji16][emoji16][emoji16][emoji53]
Hainaga uhalisia hii ni guesswork. Anaweza kuwa na mdomo wa hivi lakini ukakuta yaliyomo hayamo [emoji16][emoji16][emoji16]Kwa waleeee wenye tafsiri zao!
Mkuje na majibu hapa!View attachment 1762823
Kwani vipi? Ni baharia mmoja ndiyo kawafotoa hawa triplets au imekaaje hii?Mambo mengine sheetwan anasingiziwa sana!View attachment 1762805