Taarabu za wahenga "Culture musical club" ndo huchezwa kwa miondoko hiyo.Hapo sasa...Kudemka...
View attachment 1756968


Usiku anapekenyua simu asubuhi anaangua kilio.
Mobitel, TritelEnzi za Buzz to Buzz, watoto hawatajua
Dah kumbe ndo hivyo?, 😢😢
Naona imekugusa hadi umekomenti sio mchezo😀😀😀Hapo kwenye nyani umezingua mkuu![]()