Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,829
Hajui mpira huyu. Simba nao wakigeuka utopolo atahama?
A pure bandwagon fan!
Hajui mpira huyu. Simba nao wakigeuka utopolo atahama?
"Acheni kudemka ngoma za mtandaoni"
Mh Rais Samia Suluhu View attachment 1756768
Mbona kawaida tu, ukiona Aseno wanazingua hamia Livapuu.[emoji23][emoji23][emoji23]Hajui mpira huyu. Simba nao wakigeuka utopolo Alabama?
A pure bandwagon fan!
Mwaka huu Livapuu mnapigwa kila kona mbona hujahama? Mimi mbona sijaihama Aseno yangu pamoja na kuwa huu ni mwaka wa 5 sijui tunahangaika tu? YNWA !!!Mbona kawaida tu, ukiona Aseno wanazingua hamia Livapuu.[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji38][emoji38]View attachment 1756825
Enzi za Buzz to Buzz, watoto hawatajua
Ipo hivi bwana [emoji23][emoji23][emoji23]