Umenikamata hapa mjinga wewe
Niliufanya sana huu ujanja! 🤣
Ame relax tu 😂
[emoji16][emoji16]hoi!!Swaumu hii jamani swaumu hii itaondoka na roho ya mtu......chungu cha nne Leo..[emoji23][emoji23]View attachment 1754450
Hao ni wenzetu wa ziwani tu, usijiulize sana[emoji16][emoji125][emoji125]
Mshindweee [emoji51][emoji51][emoji51]Nimeona yule jamaa alikataa hiyo, akadai eti ni waluhya wa Kenya wakati wana viashiria vyote vya usukumani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahaha. Trust NO one.Umenikamata hapa mjinga wewe
Ninaye rafiki kama huyo...mshenz sana huyo jamaa,anaweza kuwa na 50000 mfukoni lkn akikuona na 5000 lazma atakuomba 2000 au 1000...