Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

Wanasayansi na wanahistoria wanaamini kwamba japo picha hiyo kweli ni ya kutoka Pompei, haiwezi kuwa inaonyesha mtu anayeungurumisha punyeto katika dakika zake za mwisho.

Wanasema kwamba maiti nyingi kutoka Pompeii zinaonyesha maumbo na mikao ya ajabu ajabu kutokana na kubanikwa na majivu ya volkeno yaliyokuwa na joto kali sana. Ni athari tu za misuli ya binadamu inavyokunjamana katika joto kali kama lile. Wanasema kuwa isingewezekana mtu kujaribu kupiga punyeto katika mazingira yale kwa sababu kwanza kusingekuwa na hewa ya Oksijeni ya kutosha na hewa yenyewe ingekuwa ya joto mno kuweza kuvutika. Katika sekeseke lile isingewezekana kuwa na nguvu za kuweza kupiga punyeto.

Kwa hiyo kwa kiasi kikubwa inaaminika maelezo ya picha hii siyo ya kweli japo yameenea sana mitandaoni.


Na picha ikatengenezewa story.

Wacha GB zipande bei tu
 
IMG_20210403_134729_615.jpg
 
Back
Top Bottom