Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,829
Pasaka njema wakuu [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
[emoji38][emoji38]itapungua japo sio kivileee, maana ule nao ni ulevi kama mlevi wa pombe tu! Wapo watakaojibana kwelikweli ili ratiba zao za kule zisiwe affected sana na mabadiliko ya vifurushi!!Hata trafiki ya eksi vidiozi na ponihabu itapungua sasa kwa Bongo [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]