Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,829
Naona Kama kuna news kwamba wamesitisha hivi vifurushi vipya vya data
Wabongo sasa hivi ni kudeka tu kwa mama. Yaani mpaka raha dah [emoji16][emoji16][emoji16]Wafanye hivyo haraka sana, la sivyo tunaenda kumwambia mama.