Kuna wengine tangu wakizaliwa zinakuwa hazijashuka. Lkn ninavosikia kuna operation huwa wanafanyiwa kuzishushaAisee ni kweli, baada ya jibu lako nikaingia chimbo ni kweli korodani zikiondoka ni shida imeingia maana homoni zote za kiume zitaondoka unaweza hata kuanza kuota matiti,kunenepa nk
Wakizishusha zinafanya kazi husika kisawasawa?Kuna wengine tangu wakizaliwa zinakuwa hazijashuka. Lkn ninavosikia kuna operation huwa wanafanyiwa kuzishusha
Inawezekana walioana bila 'kushiriki mapenzi na hapa nahisi aliyecheza ni mwanaume maana alijua udhaifu wake nahisi akatumia na ule ulokole wa kuimba injili kwamba wasubiri hadi waoane,walipooana hata mwanamke alipogundua ikawa tena ngumu kuvunja ndoa na unajua ndoa za kikristo na pengine kujulikana kwao kanisani,kwahio ilibidi avumilie kubaki,sasa ndani ya miaka yote 21 hapo inawezakana labda alikuwa anachepuka nje au la hatujui.Ina maana miaka yote hiyo 21 huyu mama alikuwa hakanyagwi au alikuwa anapata huduma nje kwa mabaharia? Na alijua kuwa jamaa ana hiyo ishu kabla ya ndoa? Ila wamevumiliana sana. Pengine tamaa ya mali imewaingia kwa sababu wangeacha hata kupelekana mahakamani wakapeana talaka tu kimya kimya ili kulinda siri ya baharia.
Ndoa hizi zimeficha mengi sana!!!