Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

Aisee ni kweli, baada ya jibu lako nikaingia chimbo ni kweli korodani zikiondoka ni shida imeingia maana homoni zote za kiume zitaondoka unaweza hata kuanza kuota matiti,kunenepa nk
Ina maana miaka yote hiyo 21 huyu mama alikuwa hakanyagwi au alikuwa anapata huduma nje kwa mabaharia? Na alijua kuwa jamaa ana hiyo ishu kabla ya ndoa? Ila wamevumiliana sana. Pengine tamaa ya mali imewaingia kwa sababu wangeacha hata kupelekana mahakamani wakapeana talaka tu kimya kimya ili kulinda siri ya baharia.

Ndoa hizi zimeficha mengi sana!!!
 
Kanyaga twendeeee....
IMG-20210402-WA0019.jpg
 
Ina maana miaka yote hiyo 21 huyu mama alikuwa hakanyagwi au alikuwa anapata huduma nje kwa mabaharia? Na alijua kuwa jamaa ana hiyo ishu kabla ya ndoa? Ila wamevumiliana sana. Pengine tamaa ya mali imewaingia kwa sababu wangeacha hata kupelekana mahakamani wakapeana talaka tu kimya kimya ili kulinda siri ya baharia.

Ndoa hizi zimeficha mengi sana!!!
Hawa watu inaonyesha hawakuwahi kuonja kionjeo kabla ya ndoa.
Itakuwa ni yale mambo ya "tusubiri ndoa".
Sasa baada kuoana na kugundua tofauti walizonazo wakakubaliana wavumiliane.
Ila inaonekana bi dada kuna mtu atakuwa amemuonjesha asali, ameona bora achonge mzinga.
Hivyo nadhani amesaliti makubaliano yao kwa sababu ya dudu la pembeni.
Mungu awajaalie subira
 
Back
Top Bottom