Foxhound
JF-Expert Member
- Dec 15, 2013
- 28,739
- 76,373
Oyaa! Blaza mwenye mapembe utamwona bila shaka![emoji38][emoji38][emoji38]If you know you know[emoji28]View attachment 1736097
Oyaa! Blaza mwenye mapembe utamwona bila shaka![emoji38][emoji38][emoji38]If you know you know[emoji28]View attachment 1736097
😂😂 marehemu alikufa kwa utomaso wakeMzee wa kula tunda kimasihara baada ya kujaribu mbinu za viwango vya juu namna ya kula wake za watuView attachment 1738857
Achana na huyo mzee, tunataka chura[emoji16]Mbona hamueleweki sasa, kwani nyie mnachotaka ni nini?
Asante kama nawewe umeelewa najua tutakuwa wote[emoji16][emoji16]Oyaa! Blaza mwenye mapembe utamwona bila shaka![emoji38][emoji38][emoji38]
Ilikuwa kama ukitaka kuwasha kwa muda mfupi ama ndani ya sekunde kadhaa, ukiwasha kwenye switch basi ni muda mrefu ( maana hata kama ukitaka kuwasha na kuzima zilikuwa zina tabia ya kufanya rust na kuwa ngumu!).Hapa bhana kitu automatiqView attachment 1737100
Hahahahha dahAchana na huyo mzee, tunataka chura[emoji16]
Kipande cha mwanaume
[emoji15]Yote kwa yote walioniacha hoi ni hawa [emoji116][emoji116][emoji116]. Na mhariri wa gazeti. Imagine mambo yako hivi kwa jambo dogo kama hili, kuna umakinifu kweli hata kwenye mambo mazito na yenye maslahi kwa taifa? Sasa naamini hata mamikataba yale ya madini ambapo tulikuwa tunapata asilimia 5 tu jamaa walikuwa wanaangusha misahihi tu hata bila kuyasoma hayo mamikataba yanasemaje. Yaani hata Chifu Mangungo wa Msovero ana unafuu kwa vile yeye hata lugha ya jasusi Carl Peters hakuielewa. Inahuzunisha !!!
View attachment 1738890
[emoji25][emoji2969]
[emoji28][emoji28][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu sijaisoma hii[emoji3]Blaza mwenye mapembe noma sana!
View attachment 1739026
[emoji16][emoji16]wew itabidi uwe kuni kabisa!!Emiir yuko namba ngapi hapo katika ranking za Hi5 kwa Tz.
Hapana mkuu.[emoji2363][emoji2363][emoji2363][emoji16][emoji16]wew itabidi uwe kuni kabisa!!