Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,378
Kwa jinsi ailvyo tu ni haki aseme kapata kwa mama akeKaka yetu kapata kwa mama akeView attachment 1738501
Huku kwetu huwaga ni kanyaga twende.Hivi hawa waandishi wetu wanafanyiwa verting kweli
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Niliwaza hivi hili gazeti halina mhariri mkuu. Shenzi kabisa hawa jamaaYote kwa yote walioniacha hoi ni hawa. Na mhariri wa gazeti. Imagine mambo yako hivi kwa jambo dogo kama hili, kuna umakinifu kweli hata kwenye mambo mazito na yenye maslahi kwa taifa? Sasa naamini hata mamikataba yale ya madini ambapo tulikuwa tunapata asilimia 5 tu jamaa walikuwa wanaangusha misahihi tu hata bila kuyasoma hayo mamikataba yanasemaje. Yaani hata Chifu Mangungo wa Msovero ana unafuu kwa vile yeye hata lugha ya jasusi Carl Peters hakuielewa. Inahuzunisha !!!
View attachment 1738890
Mbona hamueleweki sasa, kwani nyie mnachotaka ni nini?
Mkuu elimu yetu bado ipo ICU kwa staili hiiYote kwa yote walioniacha hoi ni hawa. Na mhariri wa gazeti. Imagine mambo yako hivi kwa jambo dogo kama hili, kuna umakinifu kweli hata kwenye mambo mazito na yenye maslahi kwa taifa? Sasa naamini hata mamikataba yale ya madini ambapo tulikuwa tunapata asilimia 5 tu jamaa walikuwa wanaangusha misahihi tu hata bila kuyasoma hayo mamikataba yanasemaje. Yaani hata Chifu Mangungo wa Msovero ana unafuu kwa vile yeye hata lugha ya jasusi Carl Peters hakuielewa. Inahuzunisha !!!
View attachment 1738890
HataariHuku kwetu huwaga ni kanyaga twende.
Mhadishi mzaha, mhariri mzaha..
Mtoto lainiiii kama supu ya mapupu![]()
Yote kwa yote walioniacha hoi ni hawa. Na mhariri wa gazeti. Imagine mambo yako hivi kwa jambo dogo kama hili, kuna umakinifu kweli hata kwenye mambo mazito na yenye maslahi kwa taifa? Sasa naamini hata mamikataba yale ya madini ambapo tulikuwa tunapata asilimia 5 tu jamaa walikuwa wanaangusha misahihi tu hata bila kuyasoma hayo mamikataba yanasemaje. Yaani hata Chifu Mangungo wa Msovero ana unafuu kwa vile yeye hata lugha ya jasusi Carl Peters hakuielewa. Inahuzunisha !!!
View attachment 1738890
Mzee wa kula tunda kimasihara baada ya kujaribu mbinu za viwango vya juu namna ya kula wake za watuView attachment 1738857


