Powerful weapon against many types of cancer(s)
Mwamba lenyewe jemedari letu pigaji gaidi saliti la kihistoria Yuda Iskariote...Very soon huyu mwamba atakamilisha dili la vipande 30 vya fedha[emoji846][emoji846][emoji846]View attachment 1738369
Hivi hawa waandishi wetu wanafanyiwa verting kweli
Yote kwa yote walioniacha hoi ni hawa [emoji116][emoji116][emoji116]. Na mhariri wa gazeti. Imagine mambo yako hivi kwa jambo dogo kama hili, kuna umakinifu kweli hata kwenye mambo mazito na yenye maslahi kwa taifa? Sasa naamini hata mamikataba yale ya madini ambapo tulikuwa tunapata asilimia 5 tu jamaa walikuwa wanaangusha misahihi tu hata bila kuyasoma hayo mamikataba yanasemaje. Yaani hata Chifu Mangungo wa Msovero ana unafuu kwa vile yeye hata lugha ya jasusi Carl Peters hakuielewa. Inahuzunisha !!!Hivi hawa waandishi wetu wanafanyiwa verting kweli
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app