My Sons Legacy
JF-Expert Member
- Feb 4, 2019
- 3,603
- 11,883
Kuna Chakula nakionaga Kwenye sinema za kizungu, kinatolewa Kwenye kifungashio cha boksi kipo kama vile ni karanga kinachanganywa na maziwa nadhani
Ni chakula gani kile bila shaka unakijua
Kuna Chakula nakionaga Kwenye sinema za kizungu, kinatolewa Kwenye kifungashio cha boksi kipo kama vile ni karanga kinachanganywa na maziwa nadhani
Halafu za PUNDA miliaJamaa kavaa sandals za Adidas...View attachment 1732885
Father, what is my birth order?
Aisee sikijui. Ungesema kinafanana na ugali labda hapo tungeenda sawaKuna Chakula nakionaga Kwenye sinema za kizungu, kinatolewa Kwenye kifungashio cha boksi kipo kama vile ni karanga kinachanganywa na maziwa nadhani
Ni chakula gani kile bila shaka unakijua

Nilikuwa sijui. Ngoja nami nikawatambie huko WhatsApp nilikoitoa. UjikoooFather, what is my birth order?



Ni kwa vile tu Tanzania tuna uhaba wa wasaka vipaji, hawa ukianzisha kikundi cha kulia misibani kwa kulipwa watakufaa sana.
Ukitaka ujue hajazimia jamaa afanye kama anaingia nae geto, atakurupuka hatari.Mtu kazimia lakini chupa ya soda hasahau
View attachment 1735461
Hahahahah noma kweli kweli mkuuUkitaka ujue hajazimia jamaa afanye kama anaingia nae geto, atakurupuka hatari.