Yuko na shemeji yake, labda ndo kaachiwa urithi.
Mwanamke tako jamaniTukimbaumbau bana. Hasira na gubu 24/7 [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
View attachment 1735404
Wanawake wako real sana.Kazi kwetu wabongo mwenzangu, picha ndio hiyo jimwage sasa........................ View attachment 1735415
😂 😂 😂 😂[emoji23][emoji23]View attachment 1735502
kweli bhana, yapo kama makande yaliyokaushwa.Kuna Chakula nakionaga Kwenye sinema za kizungu, kinatolewa Kwenye kifungashio cha boksi kipo kama vile ni karanga kinachanganywa na maziwa nadhani
Ni chakula gani kile bila shaka unakijua
Ngoja nitafute mkuuMkuu kuna picha uliwahi kuiweka imepigwa ufukweni kuna jamaa anapita anaendesha baiskeli amevaa kanzu nyeupe na kuna watu wengine wachache wanaonekana kwa mbali! Halafu ule ubluu wa bahari na mbingu ni kama umeongezewa effects hivi umekozwa kama bado unayo tafadhali naomba uiweke hapa!
[emoji120][emoji120] [emoji4][emoji4]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Huyu alitakiwa achapwe viboko mpaka akili ya bangi imtoke.