moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 156,133
- 770,208
Dadadeki hahah
HahahahahahaJamaa kavaa sandals za Adidas...View attachment 1732885
Hahahahahaha
Kuna ile 5 seconds rule. Kitu kikianguka halafu ukakiokota ndani ya sekunde 5 basi ni halali kukila. Ila nyama hata ikae nusu saa siwezi kuitupa. Ni kuipangusa tu halafu inaelekea mdomoni.
Bibi yangu alikua anasema haina shamba hii, anaokota anaipangusa inaelekea mdomoniKuna ile 5 seconds rule. Kitu kikianguka halafu ukakiokota ndani ya sekunde 5 basi ni halali kukila. Ila nyama hata ikae nusu saa siwezi kuitupa. Ni kuipangusa tu halafu inaelekea mdomoni.


