Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,829
Ni wale walioondoka na JPM kwa kukanyagwa uwanjani ama?[emoji120][emoji120][emoji120]View attachment 1733277
Wapumzike salama [emoji1545][emoji1545]
Ni wale walioondoka na JPM kwa kukanyagwa uwanjani ama?[emoji120][emoji120][emoji120]View attachment 1733277
Mnaogopa giza.Uoga?
Tunaogopa nyoka, vita, ugomvi au kitu gani, mbona mmekusnya vyote pamoja?
Ila hiki Sio kituko rafiki[emoji120][emoji120][emoji120]View attachment 1733277
Kwenye uwanja wa vituko siyo vibaya tukiomboleza na kupashana habari zinazoendelea DunianiIla hiki Sio kituko rafiki
Ndiyo haoNi wale walioondoka na JPM kwa kukanyagwa uwanjani ama?
Wapumzike salama [emoji1545][emoji1545]
Na mfanyakazi wao pia kafa[emoji120][emoji120][emoji120]View attachment 1733277
Aiseee hatarNaaam!
Mungu na Amponye huyu binti. Na baharia aliyesababisha hii "ajali" apigwe mvua 30 au kifungo cha maisha [emoji2211][emoji2211][emoji2211][emoji2211]
View attachment 1705975
Najua lengo lako[emoji16][emoji16]