Enzi za Magufuli huu ni uchocheziNdoto za msemajiView attachment 1732345
Mmmh labda ianguke kwenye uchafu like kinyesi or shii [emoji57]
Hata hivyo aliyasema hayo enzi za MagufuliEnzi za Magufuli huu ni uchochezi
Uoga?
[emoji23][emoji23][emoji23]Kuna ile 5 seconds rule. Kitu kikianguka halafu ukakiokota ndani ya sekunde 5 basi ni halali kukila. Ila nyama hata ikae nusu saa siwezi kuitupa. Ni kuipangusa tu halafu inaelekea mdomoni.
Wapumzike kwa amani.[emoji120][emoji120][emoji120]View attachment 1733277