curtis jr2
JF-Expert Member
- Dec 22, 2016
- 770
- 4,588
Motoni kumedamshi
[emoji1691][emoji1533][emoji39]Pale unaposugua sufuria yenye ukoko sura huwa hivi.View attachment 1720743
Acha uongoDodoma nilikuwa naishi porini
Ipo haja kwa serikali yetu kuwapa kipaumbele watoto kama hawa wanaopenda vitu kama hivi, naamini tunaweza kuzalisha maengineer wenye upeo na uwezo mzuri sana. Sio wale wanaosoma waonekane wamesoma tu lakini field wako horrible kabisa !
Misk ni aina ya manukato.Miski ni nini?
View attachment 1721010
Eti goli moja wanarudi nyuma kuzuia[emoji1][emoji1]
Bro wake huyo baada ya Kushiba sana
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]