Mimi hadi sasa siamini maana sijawahi kushuhudia..Na hapo mbona hamna maajabu kuna watu wamevurugwa katika hii dunia.
Unasema hivi huyu mtu hana ndugu/relative maana kwa kinachoonekana ni aibu nasema aibu aibu.
Kiukweli kuna watu wamekata tamaa na wanasaka pesa bila kuwa na mizizi yeyote ya woga katika uovu!
AiseeeUje nikutembeze usiku ukokawaone warembo wenzako wanaojianika mitaani kuuza tupu zao kama wanauza bagia na kalimati![]()

Hizi ni kufuru na huyo aliyeandika anatafuta laana
Kama unaishi dar nenda uwanja wa fisi kwingine hata usiendeNitatembea labda nitaona.
Huwa nadhani ni bongo movie ama stori za kusadikika.
Pole sana usije mjiniMimi hadi sasa siamini maana sijawahi kushuhudia..
Labda kwa sababu nakaa kijijini huku.
Siishi Dar mkuu na sijawahi kabisa kuishi huko.Kama unaishi dar nenda uwanja wa fisi kwingine hata usiende
Mimi siamini kabisa labda ngoja nitashuhudia siku moja.Pole sana usije mjini
Dats whySiishi Dar mkuu na sijawahi kabisa kuishi huko.
Karibu wenyeje najua tumo wengi humu utatembezwa.Mimi siamini kabisa labda ngoja nitashuhudia siku moja.
Mbagala watu wangekuwa wanapandia hapo paku-slide wanaposhukaView attachment 1720504itapendeza route za mbagala


Hahah!
Kumbe haya mambo ni huko daslamaDats why
Siku nikipata kasafari ka huko,nitakutafuta ukanionyeshe nishuhudie na mimiKaribu wenyeje najua tumo wengi humu utatembezwa.
Kila mkoa yapo best ni vile we hutembei tembei nmepita kwanza arusha bukoba, kahama, dodoma, tanga, kila sehem hizo nmeona watu wanauza mduduKumbe haya mambo ni huko daslama
Huku mikoani sijawahi sikia.