Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

Mtanda bhana
Screenshot_20210309-120806.jpg
 
Mfanyakazi wa hifadhi ya taifa ya Malakere, "Malakere National park" nchini Afrika kusini, Malibongwe Mfile mwenye miaka 27 Ameliwa na Simba ndani ya hifadhi hiyo wakati akiwafuatilia Chui waliofungwa vifaa maalum "tracking devices" ambazo zinatambua mahali walipo.

Bwana Mfile alikuwa pekee kwenye pori hilo akiwa anaendesha gari aina Jeep, aliposhuka Simba hao walimvamia na kumla.
Hata hivyo Simba hao wawili wameuwawa
FB_IMG_1615287003086.jpg
 
Mfanyakazi wa hifadhi ya taifa ya "Malakere National park" nchi Afrika kusini, Malibongwe Mfile mwenye miaka 27 Ameliwa na Simba ndani ya hifadhi hiyo wakati akiwafuatilia Chui waliofungwa vifaa maalum "tracking device" ambazo zinatambua mahali walipo.

Bwana Mfile alikuwa pekee kwenye pori hilo akiwa anaendesha gari aina Jeep, aliposhuka Simba hao walimvamia na kumla.
Hata hivyo Simba hao wawili wameuwawaView attachment 1720832
Simba hawana makosa. Wameonewa !!!
 
Back
Top Bottom