Legendary 😆😆😆
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787], Watakudanganya.Ukitaka kumuona Demu wako Mzuri waambie
mashabiki wa Yanga wamsifie
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Aseee, "Shughulika dada mchungaji"
Dodoma nilikuwa naishi poriniHiyo mbona ni kawaida sana.
Nadhani hata hapo Dodoma mamho hayo ni ya kawaida sana tu
Majira ya usiku ni ngumu kuwepo yale maeneo..