Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,829
Watu wanavyodondoka na hii changamoto ya ku-breath na kuacha kila kitu aisee hii ni kweli kabisa...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tulia ww, huo ni mchezo tu.
We jamaa unajua sana mpira, ungekuwa kiongozi tungefika mbali.Tutafanyaje Sasa na imeshatokea, tunajipanga KWA mechi ijayo