curtis jr2
JF-Expert Member
- Dec 22, 2016
- 770
- 4,588
Mwanaum wa zenj
Yani ni jinsi gani tulivyo serious..... View attachment 1717311
Hatua kali zichukuliwe juu ya matumizi haya mabaya ya fedha za wanachama.

Mbwa kama huyu akifa lazima ulie walai😁
Hatua kali zichukuliwe juu ya matumizi haya mabaya ya fedha za wanachama.
Too much VIOO kwenye jengo na pia kubwa sana nadhani just a single room ingetosha kuwa makao makuu ya mkoa,![]()



hakikaTulia ww, huo ni mchezo tu.Tukutane Julius Nyerere Airport kesho tukampokee mwingineView attachment 1717411
Tutafanyaje Sasa na imeshatokea, tunajipanga KWA mechi ijayoAnaitwa Juma Mgunda.
Ndiye kocha mkuu wa Coastal Union View attachment 1717413
