Paka SC 😆😆[emoji23][emoji23]View attachment 1671279
Yeah,paka lives matterPaka SC [emoji38][emoji38]
Ila hako kapaka wamekakaba itakuwa hakapumui hapo
N ule upepo akikwambia kitu hata hamsikilizani kabisa, unabaki unaitikia tu kwa nguvu ili mfike[emoji23][emoji23][emoji28]Hahaaa na jamaa wanavyopenda kupigisha stories basi mi najibugi tu aiseee balaaa ......enheee ikawaje halafu mkifika tu na stori inaisha anasepa. Sasa kama anataka story tuwe washkaji si apaki bodaboda hapo tukae kimvulini anisimulie mpaka iishe
[emoji16][emoji16]
Usimlaumu sana maybe alikua anaitwa Rama ila sasa anajita Rahma.. shep mchina inginginae getto ndio unajua dume mwezio[emoji3]
Dah! Nakumbuka wakati nipo form three miaka flani hivi, mshua kanipa ada nipeleke bank mie nikasepanayo school, ile naingia class madam wa darasa huyo na daftari lake.. " wasiotoa ada mbele" mchizi nikaminya akanza kuita shubiri poli njoo mbele, mgonga like mbele... kumaliza kuita sijui akajichanganya vipi akanipa daftari nipeleke ofisin. Kucheki cheki nakuta waliolipa ada na makorokoro mengine wamepigwa tiki tu! Mchizi na wenge langu bira kutafakari mara mbili nikajiona ninja nikatia tiki kote ninapodaiwa.
Hakuna kafeeling kaziuri kama kale umembeba mtu kwenye bodaboda halafu unaona kashikilia ile carrier kwa nguvu, kuashiria mwendo wenu ni wa mi5 tena[emoji38]N ule upepo akikwambia kitu hata hamsikilizani kabisa, unabaki unaitikia tu kwa nguvu ili mfike[emoji23][emoji23][emoji28]
[emoji2] [emoji23][emoji23]Dah! Nakumbuka wakati nipo form three miaka flani hivi, mshua kanipa ada nipeleke bank mie nikasepanayo school, ile naingia class madam wa darasa huyo na daftari lake.. " wasiotoa ada mbele" mchizi nikaminya akanza kuita shubiri poli njoo mbele, mgonga like mbele... kumaliza kuita sijui akajichanganya vipi akanipa daftari nipeleke ofisin. Kucheki cheki nakuta waliolipa ada na makorokoro mengine wamepigwa tiki tu! Mchizi na wenge langu bira kutafakari mara mbili nikajiona ninja nikatia tiki kote ninapodaiwa.
Kesho yake ticha akanza kugawa vifaa vya shule kwa waliolipia na mimi nikapewa, moyoni najiongopea nishamaliza mchezo! acha nianze kutumbua ada kwa raha zangu[emoji3] utoto raha sana.. kilichofata bada ya week kaza ndio sitaki hata kukumbuka mshua bandidu sana
Malizia mkuu. IlikuwajeDah! Nakumbuka wakati nipo form three miaka flani hivi, mshua kanipa ada nipeleke bank mie nikasepanayo school, ile naingia class madam wa darasa huyo na daftari lake.. " wasiotoa ada mbele" mchizi nikaminya akanza kuita shubiri poli njoo mbele, mgonga like mbele... kumaliza kuita sijui akajichanganya vipi akanipa daftari nipeleke ofisin. Kucheki cheki nakuta waliolipa ada na makorokoro mengine wamepigwa tiki tu! Mchizi na wenge langu bira kutafakari mara mbili nikajiona ninja nikatia tiki kote ninapodaiwa.
Kesho yake ticha akanza kugawa vifaa vya shule kwa waliolipia na mimi nikapewa, moyoni najiongopea nishamaliza mchezo! acha nianze kutumbua ada kwa raha zangu[emoji3] utoto raha sana.. kilichofata bada ya week kaza ndio sitaki hata kukumbuka mshua bandidu sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Dah! Nakumbuka wakati nipo form three miaka flani hivi, mshua kanipa ada nipeleke bank mie nikasepanayo school, ile naingia class madam wa darasa huyo na daftari lake.. " wasiotoa ada mbele" mchizi nikaminya akanza kuita shubiri poli njoo mbele, mgonga like mbele... kumaliza kuita sijui akajichanganya vipi akanipa daftari nipeleke ofisin. Kucheki cheki nakuta waliolipa ada na makorokoro mengine wamepigwa tiki tu! Mchizi na wenge langu bira kutafakari mara mbili nikajiona ninja nikatia tiki kote ninapodaiwa.
Kesho yake ticha akanza kugawa vifaa vya shule kwa waliolipia na mimi nikapewa, moyoni najiongopea nishamaliza mchezo! acha nianze kutumbua ada kwa raha zangu[emoji3] utoto raha sana.. kilichofata bada ya week kaza ndio sitaki hata kukumbuka mshua bandidu sana