Mzimu wa Kolelo
JF-Expert Member
- Apr 16, 2013
- 2,966
- 8,975
[emoji848]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji848]View attachment 1671703
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Gigy Money naye eti naye Dira lilimdonoka
View attachment 1671718
Aisee inasikitisha sanasana[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Naona umejirekebisha leo mgonga like,Dah! Nakumbuka wakati nipo form three miaka flani hivi, mshua kanipa ada nipeleke bank mie nikasepanayo school, ile naingia class madam wa darasa huyo na daftari lake.. " wasiotoa ada mbele" mchizi nikaminya akanza kuita shubiri poli njoo mbele, mgonga like mbele... kumaliza kuita sijui akajichanganya vipi akanipa daftari nipeleke ofisin. Kucheki cheki nakuta waliolipa ada na makorokoro mengine wamepigwa tiki tu! Mchizi na wenge langu bira kutafakari mara mbili nikajiona ninja nikatia tiki kote ninapodaiwa.
Kesho yake ticha akanza kugawa vifaa vya shule kwa waliolipia na mimi nikapewa, moyoni najiongopea nishamaliza mchezo! acha nianze kutumbua ada kwa raha zangu[emoji3] utoto raha sana.. kilichofata bada ya week kaza ndio sitaki hata kukumbuka mshua bandidu sana
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji848]View attachment 1671703
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji24][emoji24][emoji1787]View attachment 1671871
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]!!![emoji16][emoji16][emoji16]View attachment 1670242
Basata bana...inabidi ishtakiwe kwa mauajji[emoji24][emoji24][emoji1787]View attachment 1671871
View attachment 1671893
Sijui na wewe utafikiria kama ninavyofikiria mimi..