Raphael focus
JF-Expert Member
- Nov 4, 2018
- 782
- 4,621
.
Haaaaa Haaaaa 😂 Sahiv kangu sikaoni, juzi ikabidi nitumie wembe maana kila nikienda town nasahau kukanunua tenaNakumbuka nilipata hasira nikazinunua tano. Maana siku unataka kukata kucha, hakaonekani lakini ukishapata mbadala unakikuta kimejikalisha mezani au juu ya decoder
maumivu?Hayo maumivu yake hayaelezeki![]()
Maumivu ya kupoteza 2GB halafu movie haichezi kwenye device yako!Kwanini
maumivu?
Wameshampata?Teknolojia inaenda kasi kama upepo.
Mods watamtafuta huyo kanungira Karim akatoe maelezo
😢Wameshampata?
AiseeSijui sijafuatilia
![]()
Hahaaa na jamaa wanavyopenda kupigisha stories basi mi najibugi tu aiseee balaaa ......enheee ikawaje halafu mkifika tu na stori inaisha anasepa. Sasa kama anataka story tuwe washkaji si apaki bodaboda hapo tukae kimvulini anisimulie mpaka iishe