Uzi pekee ambao napitia page zooote
@konge huna adabu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my Infinix X627 using JamiiForums mobile app
Kuhani Noah kuna uzi wa vituko mtandaoni ulishausomaga kweli huu uzi
Hahahahahahahahahahahahahahahahha[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
View attachment 1670241
Huwa ni thread ya kwanza.. kuifungua niingiapo JF 🙂🙂.Kuhani Noah kuna uzi wa vituko mtandaoni ulishausomaga kweli huu uzi
Nakumbuka nilipata hasira nikazinunua tano. Maana siku unataka kukata kucha, hakaonekani lakini ukishapata mbadala unakikuta kimejikalisha mezani au juu ya decoder[emoji848]View attachment 1670880