Ahaaaaaaaa mbona mnawaandama jirani zetu
Mwanzo alikuwa wa tarime ila hatimaye amebainika ni wa dasilamu,hatari sanaHalafu baada ya bao moja [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1662343
cc muxar, mqaxy sijui mtakuwa mmelala?Vituko mtandaoni [emoji2098][emoji2098][emoji2098][emoji2098]
View attachment 1662377
Ndo mchezo wangu huoHuko Japani kuna mchezo unaitwa TSUNDOKU ambapo watu wananunua vitabu na hawavisomi.
View attachment 1661974
This month only I spent 70 US$ on data! You can't believe it!!! [emoji2817][emoji2817][emoji2817]
Duh ni Mods wa mumu humu wanaoibuka kurekebisha waonavyo walinipiga mkwara kwa post #31,402 wakanitandika kwenye post #31.404 na #31,405Kuna under 18 humu?
Kuna sheria yo yote imevunjwa?
Hao uliowaita ni mods ama?