Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

Huko Japani kuna mchezo unaitwa TSUNDOKU ambapo watu wananunua vitabu na hawavisomi.
IMG_20201228_234434_784.jpg
 
We jamaa una roho mbaya sana.hujali hata tupo wapi na tunafanya nini,hivi kweli maelezo na picha vinaendana ama kutafutiana lawama tu.
1609252263714.png

mqaxy

Kwani picha na maelezo yanaendana au🤔
kwani Mada inasemaje Member? na post zilizowekwa hapo mnaamini kuwa
Unaambiwa katika kundi la wanawake sita, basi mmoja wapo hajawahi kufika kileleni.
Tafiti: Kufanya mapenzi na kunywa pombe ndio vitu vinavyoongoza kumpa mtu furaha kuliko kuwa na watoto.

yupo mwingine anaamini jani
sasa mm naamini ni usingizi kwenye godoro linanimaliza kuliko pombe
Karibuni na ninyi muweke vituko Mitandaoni labda mleta Mada aniambie hapo sio
 
Back
Top Bottom