Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

Kweli, sometimes ukiwa mtu wa mitoko sana huoni ladha ya kula home, hiyo kitu imeniathiri na mimi
Yah! Kipindi kirefu sana nimekuwa nazunguka maisha yangu yamekuwa ni hotel to hotel.. chakula cha home ilikuwa inapita hata miezi hakijaingia mdomoni.. nature ya miangaiko inaweza ikaaamua uwaje uwaje kwa nyakati flani.. ila nikishao itakuwa home tu msosi 😂😂
 
Ina. Mana hata humu jf hujapata pisi kama pisi ukaweka ndani
 
[emoji30]
FB_IMG_1609237568487.jpg

Sent from my ACCESS55 Pro using JamiiForums mobile app
 
hii nika movie ya bean john english,alishuka parachute kwenye jengo akachumpa dirishani,kwa mbwembwe na kuanza kutia bit kwamba kuna hospital inendesha upasuaji na kubadirisha sura kinyemera,piga sana mkwara mule kwenye hospital ya wazee.

kumbe kashuka jengo sio[emoji38][emoji38][emoji38].
 
Back
Top Bottom