Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

.
FB_IMG_16087344657595255.jpg
 
Mama hawezi kuwaacha wanae wateseke au wabaki na njaa, km wanaume tunavyosepa kuwahudumia watoto
hutu mama kakamatwa kwenye shamba la migomba akivunja ndizi na kuwapa wanawe wale kutoka ktk mkunguu aliouiba /kuuangusha katika mgomba
hapo km ni mwenye shamba utafanyajeView attachment 1657208
nilikuwa nacheka lakini ghafla nimehuzunika aiseee hiii picha imenihuzunisha sana ngoja nilog out kidogo
 
Back
Top Bottom