Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

IMG_20201221_064216_936.jpg
 
ninyi mnawazalisha tu matunzo na chakula hamuwapi na kesho yao haijulikani
sasa kakamatwa shambani kwako utamfanyeje, aendelee tu kuiba kwa sababu The end doesn't justify the means

Kwani mimi ndio baba wa mtoto? Akamuibie mzazi mwenzie, mwizi ni mwizi tu mkuu haijalishi, na kila anayeiba ana sababu ambazo ukisikia utamwacha
 
Back
Top Bottom