Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,829
[emoji23][emoji23][emoji23]sasa wakilia kimya kimya utatambuaje uwepo waoHalafu jamaa mwenyewe sasa [emoji16][emoji16][emoji16]
Hivi ni kwa nini mbu huwa wanatoa hiyo sauti. Hawawezi kula kimya kimya
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16]
Watakuwa wamejaza makaratasi huko mgongoni [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Wewe mahindi debe moja tu unahema kama mjusi [emoji23]View attachment 1620357