Mwanakulisaka,mwanakulipata
Bado anapambana mahakamani huko. Na wafuasi wake wameanza kuandamanaBwana mkubwa , ndio basi tena
Sio kweli.. mutual friend Ni yule ambae anawakutanisha nyinyi.Rafiki wa rafiki yako
Nilijibu hili kiutani. Ila ukiendelea chini nililijibu kama lilivyoSio kweli.. mutual friend Ni yule ambae anawakutanisha nyinyi.
Let say, A & C are friends, B & C are friends but A& B aren't friends, so C is a mutual friend of A& B