Zimeokoa wengi, ule ndiyo msingi wa sheria tulizo nazo leo duniani. Kabla ya pale kuua ilikua ni kama kunywa chai.Haki ya mama kitanuka![]()
Grinch hahaaa...it as been years now sijafuta hiyo movie in my PC very very fun Jim Carrey my fav
Mwambie aliyevaa kofia apandishe mlege
Beach sawa ila kwenye malls huko nilishakataa huu utopoloWanaume gonga cheers
View attachment 1619238



Nimeona kichwa cha dushe kwa mbaaaaaali
Sayansi na dini zinapaswa kukamilishana basi tu...
Huwendi mbinguni