Toa ushenzi wako! Msipende kudhalilishana kisa vyama, no one is right!
Ujuaji mwingi mbele gizaIla hapo wamemuonea tu Waziri Kigangwala, hakuna kosa la kiuandishi wala kisarufi, hata kama angekuwa mtoto wa kiume ingekuwa " A son is always a blessing to his father" kwasababu:
Daughter ni her
Son ni his
His na her ni Pronoun (Possessive pronoun)
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Huu ni ukweli kabisa[emoji23][emoji23]View attachment 1613069
Jamani, mbona mm nikipost video hua inakuja size hiyo, kwan nakosea wap