Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,378
Ila hapo wamemuonea tu Waziri Kigangwala, hakuna kosa la kiuandishi wala kisarufi, hata kama angekuwa mtoto wa kiume ingekuwa " A son is always a blessing to his father" kwasababu:
Nakumbuka somo la historia nilikuwa niko vizuri sana, topic inaitwa "Scramble for and pertition of African continent 1884-1886" under Germany Councellor Otto Von Bismarck.“katika mwaka 1884-1885 katika kitu kinaitwa petition of Africa , nchi ya Africa iligawiwa vipande vipande”
MAGUFULI leo 25/oct/2020