konge
JF-Expert Member
- Sep 1, 2014
- 6,622
- 41,331
Hapa ni bint akimunyonyesha baba ake ili asife njaa gerezani baada ya kuhukumiwa kifungu cha kifo kwa kutopewa chakula had kifo kimpate
Nan kakuuliza?Hapa ni bint akimunyonyesha baba ake ili asife njaa gerezani baada ya kuhukumiwa kifungu cha kifo kwa kutopewa chakula had kifo kimpate
Samahani kwa kuingilia...kwani kakwambia wewe?Nan kakuuliza?
Aumekosea sana kuingilia, hata kama umeomba poo, ligi nyingine huziwezi, subir hadi utakapoitwaSamahani kwa kuingilia...kwani kakwambia wewe?
Hii thread kila mtu anasoma kama wewe hukutaka kujua wengine ametusaidia kujua tulikuwa hatujuiAumekosea sana kuingilia, hata kama umeomba poo, ligi nyingine huziwezi, subir hadi utakapoitwa
Ni kieleele cha usiku tu😂😂😂😂Nan kakuuliza?
Dada umeniita nije rasmi?Hii thread kila mtu anasoma kama wewe hukutaka kujua wengine ametusaidia kujua tulikuwa hatujui
Nikuite wa kazi gani?Dada umeniita nije rasmi?
Kuna. Kazi nyingi haswa kwa muda kama huu utazipata, na utalala vizuriNikuite wa kazi gani?
Bwana we utajijua mwenyeweKuna. Kazi nyingi haswa kwa muda utazipata, na utalala vizuri
Hilo neno la kwanza umenishtua kweli yani mpenziBwana we utajijua mwenyewe