Kuna mtoto mmoja alikuwa anaupiga wa kutosha halafu anasimama na kurukaruka akidai kwamba anaushindilia ili ujipange vizuri tumboni kisha anaendelea na game
Kuna mtoto mmoja alikuwa anaupiga wa kutosha halafu anasimama na kurukaruka akidai kwamba anaushindilia ili ujipange vizuri tumboni kisha anaendelea na game
Mnyamwezi nae tusemeje? Labda mavii yake yanakuwa na umbo la mwezi au makubwa kama mwezi
Hao wataalam wa utafiti wa vipimo vya afya wajitafakari. Teknolojia yote hii ya dunia kwanini wasitumie mate, mkojo au jasho kufanyia vipimo badala ya damu? Sindano inauma ujue!Kupima sio mchezo, kipindi napambana na ajira za majeshi, nikasema subir leo nipime kabisa isije ikawa kumbe nishaungua ndio maana kila siku nakosa nafasi. Nikafata test kits kwa rafiki yangu saa 6 usiku maana kesho yake ilibidi nisafiri. Nilivyorudi sasa ndio nipime kumbe kuna kunakujitoboa utoe damu😆😆. Zoezi likaishia hapohapo nikasema potelea mbalii