Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

1791835806958.jpg
 
Kupima sio mchezo, kipindi napambana na ajira za majeshi, nikasema subir leo nipime kabisa isije ikawa kumbe nishaungua ndio maana kila siku nakosa nafasi. Nikafata test kits kwa rafiki yangu saa 6 usiku maana kesho yake ilibidi nisafiri. Nilivyorudi sasa ndio nipime kumbe kuna kunakujitoboa utoe damu😆😆. Zoezi likaishia hapohapo nikasema potelea mbalii
 
Sasa si ulipima ulivyoenda huko 😁😁

Sema Jana nimejiuliza mbona sindano ukitaka kujitoboa mwenyewe ni inakuwa ngumu,,lkn nesi anatoboa kama anaguhsa tu😁😁
 
Na hiko ndio kilichonishinda, mkono ukaanza kutetemeka nikajitoboa halafu damu haikutoka😁nikasema hili zoezi liishie hapa kwanza nikienda huko nitakula na kunywa bure acha nikatembee zangu!
 
Back
Top Bottom