MawardatDellapina
JF-Expert Member
- Apr 27, 2021
- 29,904
- 150,981
Shemeji yenu sio mkorofi, changamoto tu ndogondogo. Unakuta umerudi nyumbani na mambo yako ye anataka muanze kuongea mambo yake wakati unataka utulivu😆😆Wifi mkorofi?
😁😁😁😁, lazima umsapoti,Shemeji yenu sio mkorofi, changamoto tu ndogondogo. Unakuta umerudi nyumbani na mambo yako ye anataka muanze kuongea mambo yake wakati unataka utulivu😆😆
Ukisema umechoka utaambiwa wangekuwa wanawake wako wa barabarani usingechoka. Hapo ukijichanganya tu mnalala mzungu wa nne😆😆😁😁😁😁, lazima umsapoti,
Aisee,wanaume mateso😁,,,hapo hajanuna bila sababu na uanze kumbembeleza😁🙌Ukisema umechoka utaambiwa wangekuwa wanawake wako wa barabarani usingechoka. Hapo ukijichanganya tu mnalala mzungu wa nne😆😆