Demiss a.k.a Muzinemshana alimroga demu fulani mwaka juzi yule manzi kila wakati anamtaja jamaa humu
Kweli mkuu....mauza uza bongo ni mengi sana.ahsante mkuu,haya mambo likiwa halijakutokea au hujawahi kuona utadhani ni kitu hakiwezekani
Then mshana kaosha sana mashine yake palehuyo huyo,manzi alichanganyikiwa yule
Aiseehahaha lazima maana manzi mwenyewe ni pisi kali
Mwamba kaandika kwa uchungu kwelikweliBahari ana uchungu na tunda lakeView attachment 1558075
Then mshana kaosha sana mashine yake pale
hahaha lazima maana manzi mwenyewe ni pisi kali
Acheni umbea wanaumeAisee
DuuhBahari ana uchungu na tunda lakeView attachment 1558075

Duh,kaongezea na haki ya Mungu tena,kweli wanaume utapeli wameanza zamani..!!!