Hamnaga utam wa mwanamke ambao haushuki kama ilivyo uchumi wa mwanaume.Mimi haushuki 😀
Mwanaume ni apambane tatizo lenu mnapenda kulelewa sana sikuhiz hat huwez kujua Hana kweli au anadanganya
Wee acha kulalamika kuwa wanaume wanapenda kulelewa..wapo wanaume ambao wanataka kulea wanawake kama mke so wee watafute hao ila sasa nawe uwe tayari kwa standards zao