Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

20240813_160447.jpg
 
Wakati wa chaguzi za kanda Chadema ilidaiwa Abdul alishiriki vilivyo kushawishi wajumbe wamchamgue bilionea Sugu.
Madai hayo yalitolewa na kambi ya mchungaji Msigwa.
Baada kushindwa kutetea kiti chake mchungaji Peter Msigwa amehamia chama cha mama Abdul.
Madai ya kikao cha makamu wa Chadema na Abdul ni dhahiri kijana huyo ana ushawishi mkubwa kwenye siasa zetu.
Cha kushangaza kijana Abdul anafanya mambo yake kimya kimya.

Hata hivyo kuna madai ya muda mrefu kuwa vyama vyetu vya upinzani ni jumuiya za chama kikongwe, tusipuuze.
Nimefurahishwa na harakati zake anafanya kimya kimya, sio kama enzi zile za kina riz, kila mtu alikua anamjua mtoto wa rais mpaka akatungiwa na wimbo.
Huyu kati ya kumi anaye mjua ni mmoja ila nyuma ya ni mtu wa kuchukuliwa kwa tahadhari sana.
 
Back
Top Bottom