Wakati wa chaguzi za kanda Chadema ilidaiwa Abdul alishiriki vilivyo kushawishi wajumbe wamchamgue bilionea Sugu.
Madai hayo yalitolewa na kambi ya mchungaji Msigwa.
Baada kushindwa kutetea kiti chake mchungaji Peter Msigwa amehamia chama cha mama Abdul.
Madai ya kikao cha makamu wa Chadema na Abdul ni dhahiri kijana huyo ana ushawishi mkubwa kwenye siasa zetu.
Cha kushangaza kijana Abdul anafanya mambo yake kimya kimya.
Hata hivyo kuna madai ya muda mrefu kuwa vyama vyetu vya upinzani ni jumuiya za chama kikongwe, tusipuuze.