Django Doer
JF-Expert Member
- Jun 30, 2023
- 2,865
- 5,244
Hii mali iko vyedi sana
min -me 😂Demu hajui kula nauli alisafiri kabisa kutoka Tabora mpaka dar kwa mshikaji ....kufika hata hajapoa tu kawashiwa moto balaa 😂😂😂View attachment 3068683View attachment 3068684
Wewe unakula nauli?
NdioWewe unakula nauli?
watoto wa 2000 wamevurugwa sanaMwanamke ndiye anatukana matusi haya🤔
Sio wote! Huyo hana maadili hadi kinyaawatoto wa 2000 wamevurugwa sana
unahisi atakua amelelewa katika mazingira ganSio wote! Huyo hana maadili hadi kinyaa
Mmmh sijui sababu watoto wa siku hizi hata wakilelewa vizuri akiamua lake litakuaunahisi atakua amelelewa katika mazingira gan
inawezekana kabisa.Mmmh sijui sababu watoto wa siku hizi hata wakilelewa vizuri akiamua lake litakua
Khaaaaaa!!!🤔 uhitaji miwani kuona kua hapo mtu hupendwii!!!!!ephen_ unajua mapenzi kitu kibaya sana.. usione watu wanatembea wanaongea wenyewe.. mapenzi/mahusiano yanachangia kwa 50%
View attachment 3070433